2,259 Views· 10/30/22· Sports
Geita Gold 0-1 Yanga | Highlights | NBC Premier League 29/10/2022
77
0
Goli pekee la mkwaju wa penati kutoka kwa Bernard Morrison limewapa Yanga ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza.
Show more
0 Comments