Up next

LiveChannels
LiveChannels
8 Subscribers
8

BBC Africa Eye: Unyanyasaji wa kingono kwenye mashamba ya chai wafichuliwa nchini Kenya

Uchunguzi wa BBC umegundua unyanyasaji mkubwa wa kingono kwenye mashamba ya chai ambayo yana chapa kubwa na maarufu nchini Uingereza zikiwemo PG Tips na Lipton, pamoja na maduka makubwa ya Sainburys na Tesco.

Makumi ya wanawake nchini Kenya walituambia wamelazimishwa kufanya ngono na wasimamizi wao wakifanya kazi kwenye mashamba yanayomilikiwa kwa miongo kadhaa na makampuni mawili ya Uingereza.

#bbcswahili #bbcafricaeye #Kenya

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next